Roho Mtakatifu ni mtu wa tatu katika UTATU, yeye alikuepo kabla ya kuumbwa kwa dunia.Na kwa nguvu zake , vitu vyote vili umbwa na MUNGU katika Kristo Yesu.
Kuwa kiumbe mpya inamaniza kubadilishwa kwa mtu wa ndani, na kuanza kuishi maishamapya. Kama vile maanding kwenye kitabu cha Wagalatia 2:20 Paulo anasema kwamba sio yeye aishie, bali Kristo anaishi ndani yake.
Kuna umuhimu kubwa kutembea na kristo, mtu anapo okoka anapaswa kutembea na Kristo ili maisha yake yasalia matakatifu na kuwa na hakikisho wa ulinzi tosha.