https://www.mwokozi-wa-wote.org/uploads/source/audios/REC20210217225512.mp3http://www.mwokozi-wa-wote.org/uploads/source/UJUMBE.mp3Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu Katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Haleluya. Msifuni Mungu Katika patakatifu pake; Msifuni Katika anga la uweza wake. Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi. Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana. Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.
UMUIMU WA KIFO CHA KRISTO YESU MAISHANI MWETU
UHAI WETU UMEFICHWA NA KRISTO YESU
YESU KRISTO NDIYE MSINGI IMARA
YESU HAJI HARAKA WALA HACHELEWI
SEASON OF TRIAL IS A SEASON OF MAKING
MUNGU HUWABARIKI WANAO MPENDWA
BREAKING EVERY BARRIER IN OUR LIVES "PART ONE"
BREAKING THE BARRIERS IN OUR LIVES"PART TWO"
WIMBO WA KUABUDU"NISIZAME YESU"
UMUHIMU WA KUENDELEA NA MAOMBI
JESUS THE LION OF THE TRIBE OF JUDAH
KUNA NGUVU KATIKA JINA LA YESU
UMEJIANDA VIPI KWA AJILI YA KURUDI KWAKE YESU KRISTO
SABABU YA KUJA KWAKE YESU KRISTO
UNAMUITAJI MUNGU KATIKA HALI YAKO
MTAFUTENI BWANA MADAMU ANAPATIKANA
MAYATIMA WANAMTUMIKIA MUNGU KUPITIA WIMBO
Kumtanguliza Mungu kwa kila jambo