Kulingana na wokovu, ni muhimu uwe na uhakika, maana kuna wengi ambayo wanasema ya kuwa wameokoka, lakini sivyo, kwa sababu hawakupokea injili kamilifu uletao wokovu. Lasima ijulikane ya kwamba kuna utofauti kati ya kwenda kanisani na kuokoka, maana unaweza kuwa msirika mku wa kanisa lakini hauja okoka
Maono ni uwezo ya kuona picha kwa akili yako ama kupanga mambo yajayo kwa akili na kuwa na picha ya mambo unayo panga kufanya kwa siku za baadaye. Maono pia inaeza kumanisa hali ile ya kuona picha ya mambo unayo taka kwa Roho ama kwa mawazo.
Ukweli wa injili ya Kristo ni kwamba Bwana wetu Yesu Kristo alitolewa na Mungu kama dhabiu ya pwkee iondoae dhambi za wanadamu na kutuweka huru kutokana na kifungo cha matendo yetu maovu.