Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
Makala
Therefore, if any man be in Christ, he is a new creature: old are passed away;behold all things are become new 2corinthians 5:17
Ukurasa 1 / 1
KUTIWA MUHURI NA ROHO MTAKATIFU
04 Januari 2026
Roho Mtakatifu ni muhimu sana katika maisha ya waumini katika Kristo maana Roho Mtakatifu ndiye muhuri ya wote waliyo mpokea Christo na kuokoka na ina dhibitisha ya kwamba sisi ni watoto wa Mungu