Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
Makala
Therefore, if any man be in Christ, he is a new creature: old are passed away;behold all things are become new 2corinthians 5:17
Ukurasa 1 / 1
AMRI YA UPENDO
15 Juni 2026
Yesu alichukua amri kumi za Musa akafunga ndani ya amri mbili; ya kwanza kumpenda MUNGU roho yako yote, pili ni kupenda mwenzako kama nafsi yako, kwa maneno mengine, alizifupisha.