Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
1 Wakorintho 15:1-4 inasema:
>Basi, ndugu zangu, nawaarifu ili injili niliyowahubiri; ambayo ndiyo mliyoipokea, na katika hiyo mnasimama, 2. na kwa hiyo mnaokolewa; ikiwa mnayashika sana maneno niliyowahubiria isipokuwa mliamini bure. 3. Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; 4. na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko.
Taarifa kwenye maandiko hii, msitari wa kwanza; Paulo anarejelea injili alilo ubiri, wapili; Paulo anaelezea kwamba, hili ndilo injili pekee ambalo wote wana faa kuamini ili waokolewe. msitari wa tatu na ule wa inne; Paulo anaelezea yale watu wanapasua kuamini ili waokolewe:
1. Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu (haya ya 3)
2. Ya kuwa alizikwa (haya ya 4)
3. Na kwamba alifufuka kutoka kwa wafu(haya ya 4)
Mtu yeyote aminiye haya, ataokolewa hapo hapo, na bila shaka atajazwa na kupata uduma wa Roho Mtakatifu.
Waefeso 1:13 inasema;
>Nanyi pia katika huyo mmekwisha kulisikia neno la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamini yeye, na kutiwa muhuri na Roho yule wa ahadi aliye Mtakafu.
Umbali utakapo enda kwa wokufu, Uamuzi cha maana ni kuamini injili pasipo kuwa na msaha. Kama unahisi kwamba haukuamini ama una tashwishwi na injili ulilopokea. Basi unafa upate wokovu kwa kuamini ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zako, akazikwa na kufufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu. Ukifanya hivyo, hapo hapo utafanyika mwana wa Mungu na msirika katika mwili wa Kristo.
Tuendelee kutazamia kurudi kwake Kristo