Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
Kumbuka Kichwa cha ujumbe huu ni kuhusu shetani ambaye biblia inamtaja kama mshitaki; “Ufunuo12:10; Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; Kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku”. Kwingine pia Peter Mitume anamtambua shetani kama adui; Adui ni mtu yule hakutaki mema, na anakupangia mabaya.
Kwa biblia katika kitabu cha Yohana injili mlango wa 10 msitari wa 10; Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. Kwenye huo Sura, maandiko inamtaja shetani kama mwivi.
Kila mara shetani utushtaki. Lakini Yesu anatutetea na kutusamehe kosa lolote ambayo adui shetani ameshikilia kutushtaki. Kile shetani hajui ni kwamba nehema ilishuka. Na leo kwa hiyo neeme; Tuna sahemewa dhambi na tuaokolewa.
Katika kitabu cha Ufunuo12:9, Yohana anamtaja shetani kuwa ni nyoka wa zamani; “Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye ibilisi na shetani, audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na Malaika zake wakatupwa Pamoja naye.
Hi ndiyo sababu Petero anawaonya waumini kujitahadhari kwa kuwa huyo joka, ibilisi aliye tupwa chini ananguruma na amejawa na gadhabu akitafuta mtu wa kumrarua. 1Petero 5:8. Wapendwa tuwe macho kwa kuomba na kukesha, tukisoma neno la Mungu ambayo ndilo litupayo uzima; “Mathayo4:4; Naye akajibu akasema , imeandikwa, mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha MUNGU”
1Petero5:9; Nanyi mpingeni huyo, mkiwa dhabiti katika Imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani.
Yakobo 4:7; Basi mtiini Mungu, mpingeni shetani, naye atawakimbia.
TUENDELEE KUTAZAMIA JUU

TUENDELEE KUTAZAMIA JUU(Tito 2:13)