Inaweza kuhaririwa na kuhariri ukurasa kutoka kwa jopo la kudhibiti
Katika kitabu cha Yohana mlango wa 6 msitari wa 56 wakati Yesu alinena akisema; Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu. Watu waliposikia walidhani Yesu alimanisha kihalisi. Mawazo yao waliweka katika mwili maana mawazo yao waliweka katika matakwa ya kimwili. Watu waliitaji chakula cha kimwili, lakini riziki anaepeana Yesu Kristo ni ya kiroho na umilele. Yesu alijua ya kwamba watu hawangeweza kuelewa maana ya alichowambia, kwahivyo watu walipoondoka, Yesu akawambia wanafunzi wake; ni Roho inayo huhuisha, mwili haufaidi chochote: Maneno ninenayo kwenyu, ni Roho na ni uzima. Yohana 6:63
Katika Yohana 17:23 inasema; Mimi ndani yao, na wewe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
Waefeso 2:10 inasema; maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.
Mtu aliyedanganywa na LS hawezi kuelewa haya kwa sababu walifundishwa sheria ya kimwili inayo tokana na wanadamu kuliko ukweli wa neno la Mungu inayo funuliwa na neno la Kiroho
Lakini masaa yaja, na sasa imewadia ambayo waabuduo wa ukweli, wata mwabudu baba kwa Roho na kweli, maana Bwana anawatafuta kama hao iliwamwabudu Yohana 4:23.
Kulingana na Paulo, sheria ni ya kimwili. na wahumini wanayodanganywa na LS hawawezi kuwa kiroho.
Vilevile jihesabuni nyinyi pia kuwa wafu wa kweli katika Kristo, baali tu hai kwa Mungu katika Kristo bwana wetu. Warumi 6:11
Kwahivyo wapendwa wangu, nyinyi pia mmekuwa wafu katika Sheria ya kristo. Ili aolewe na mtu mwingine ata kwake aliyetwaliwa kutoka kuta kwa Waafu, ilikwamba tu.
Keep on looking up