Roho Mtakatifu ni mtu wa tatu katika UTATU, yeye alikuepo kabla ya kuumbwa kwa dunia.Na kwa nguvu zake , vitu vyote vili umbwa na MUNGU katika Kristo Yesu.
Kuwa kiumbe mpya inamaniza kubadilishwa kwa mtu wa ndani, na kuanza kuishi maishamapya. Kama vile maanding kwenye kitabu cha Wagalatia 2:20 Paulo anasema kwamba sio yeye aishie, bali Kristo anaishi ndani yake.