Upako wa Roho Mtakatifu ni nguvu za kimungu ambayo mtu anapokea kutoka kwa Mungu kupitia Roho Mtakatifu. Ni uwezo na nguvu wa ndani unaotuwezesha kufanya kazi isiyo ya kawaida. Nguvu hii mtu upokea baada ya kupokea Roho Mtakatifu.
Vizuizi; ni vitu vinavyo tumika kuzuia watu, ama wanyama, ou magari kuvuka kutoka sehemu mmoja hadi sehemu nyingine. Kwa maneno mengine, ni vitu ambavyo suia watu kufikia hatima yao.