Wapendwa, sisi zote tu wasafiri duniani, siku yaja ambayo zote tutaondoka duniani kisha tueleke mbele ya kiti cha ukumu. Je jina lako litapatikana katika kitabu gani?
Kila kitu kilicho na mwanzo kina mwisho, na hii ni pamoja na wanadamu; kuna siku ya kuzaliwa na siku ya kufa. Swali ambalo unafaa kujiuliza ni je utamaliza vipi? Je ukamaliza safari yako ya duniani, je utamaliza visuri amavipi?