As born again believers, we should be always ready for the spiritual battles, Our greatest enemy is the devil, an enemy who fights us in the spirit and his battle do manifest in the physical.
YESU ATAKAPO RUDI MARA YA PILI, HATIMA YAKO ITAKUWA WAPI?
31 Desemba 1969
Wapendwa, hapa duniani tu wasafiri, na siku yaja ambayo sisi zote tutaondoka duniani. Siku yaja ambayo Yesu Kristo atarudi mara ya pili, je utakuwa wapi?