TOBA ni nini? Toba ni kuacha matendo mabaya na kuanza kutenda mema, ama ni tendo la kubadilisha mawazo ya mtu kutoka kwa matendo ya uovu na kumgeukia Mungu. Kwahivyo inamanisa toba ni utaratibu wetu wakuendelea maishani mwetu.
Roho Mtakatifu ni msaidizi kwa wateule. Bila Roho Mtakatifu, sisi hatuwezi kufanya lolote katika mwili wa Yesu Kristo, maana ni Roho Mtakatifu ndiyen atutiaye Nguvu.